Storymoja Know More Art and Craft Grade 5 by Storymoja
KSh577.00 Original price was: KSh577.00.KSh520.00Current price is: KSh520.00.
Know More Art and Craft Learner’s Book for Grade 5 is written in conformity to the new competency-based curriculum design to assist learners carry out various interactive learning activities.
The book provides learners with opportunities to develop core competencies, values, skills and attitudes.
ISBN: 9789966623812
Related products
-
EAEP Kiswahili Angaza Kitabu cha Mazoezi Grade 5 by M. Banda na S. Otieno
KSh566.00Original price was: KSh566.00.KSh510.00Current price is: KSh510.00.Add to cartKiswahili Angaza, Kitabu cha Mazoezi, Gredi ya 5 ni kitabu kilichoandikwa kwa ubunifu ili kuimarisha maarifa ya mwanafunzi kupitia mazoezi. Mazoezi kwenye kitabu hiki yamewasilisha kikamilifu mahitaji ya Mtalaa wa Umilisi. Mazoezi haya yatamwezesha mwanafunzi kukuza stadi zinazohitajika, maadili na kukabiliana na masuala mtambuko.
Kitabu hiki kimezingatia mambo sita muhimu katika ujifunzaji wa lugha:
• Mazoezi mbalimbali yanayopalilia na kushadidia umilisi wa mwanafunzi
• Kimeangazia stadi zote za kujifunza lugha ambazo ni: Kusikiliza, kuzungumza, Kusoma na kuandika.
• Picha ya muhtasari inayoeleza yale yatakayoshughulikiwa kwa kila stadi ya ujifunzaji.
• “Sasa ninajua’ na Jitathmini’ ambavyo ni vidokezo vya kujifunzia na kuimarisha umilisi baada ya mazoezi.
• Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueleweka na mwanafunzi kwa urahisi.
• Picha zilizotumika zimechorwa vizuri na kikamilifu. Kila mada imeanza kwa picha ambayo inasisimua hamu ya mwanafunzi ya kujifunza.Waandishi wa kitabu hiki ni wale wale waandishi wa vitabu maarufu uvipendavyo vya Kiswahili Angaza Gredi ya 1, 2, 3, 4 na 5, na wana uzoefu mkubwa na wamekiandika kitabu hiki kwa utaalamu mkuu.
ISBN: 9789966565792
-
Moran Beginning Music Learner’s Book Grade 5 (Approved) by W. Mureithi, D. Amimo, A. Maina
KSh400.00Original price was: KSh400.00.KSh360.00Current price is: KSh360.00.Add to cartBeginning Music is a course developed to meet the requirements of the Competency-Based Curriculum.
The course has been prepared after in-depth research to enable learners to acquire the necessary knowledge, skills, values, and attitudes. It has plenty of activities that stimulate learning, nurture learners’ skills, competencies, and talents, make the learning process enjoyable and instill values and attitudes specified in the curriculum design.
The course:
– Encourages the use of learning materials from the learner’s immediate environment thus giving the learner an opportunity to appreciate the environment
– Has a variety of activities that enable learners to explore and learn
– Covers all the specific learning outcomes in the curriculum design
– Has activities that integrate the core competencies, values, and pertinent and contemporary issues
– Has activities that encourage parental involvement in the learning process
– Has activities that encourage learners to nurture their talent in music Has activities that enable learners to appreciate and improve their community.ISBN: 9789966632975
-
OUP Kiswahili Dadisi Grade 5 Kitabu cha mwanafunzi (Approved) by J. Ndege, P. Kea, E. Osoro, Z. Mucheria
KSh566.00Original price was: KSh566.00.KSh510.00Current price is: KSh510.00.Add to cartKiswahili Dadisi ni msururu wa vitabu vipya vilivyoandikwa kwa njia ya kipekee ili kutosheleza mahitaji ya mtalaa wa umilisi. Vitabu hivi vitamwezesha mwanafunzi kupata ufahamu wa lugha kupitia stadi za kusikiliza, kuzungumza, kusoma na kuandika, na vilevile sarufi. Aidha, vina mazoezi murua ambayo yatampa mwanafunzi hamu ya kujifunza. Pia vinakuza umilisi uliopendekezwa, maadili na kufahamisha kuhusu masuala ibuka.
Katika Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi, Gredi ya 5, utapata:
• mada zilizopangwa kwa kuzingatia muainisho wa mtalaa mpya.
• mifano halisi ya miktadha ambapo lugha hutumika.
• mazoezi ya kuwahamasisha wanafunzi kuendeleza ujifunzaji nje ya darasa na yale yenye kuwashirikisha katika shughuli za
kijamii zinazokuza ujifunzaji.
• mazoezi yanayomhusisha mwanafunzi moja kwa moja.
• jinsi ya kuwashirikisha wazazi na walezi ili kuimarisha uwajibikaji.
• vifungu vya kumburudisha na kumfikirisha mwanafunzi katika sehemu ya ‘Burudika’.
Kiswahili Dadisi, Kitabu cha Mwanafunzi kina Mwongozo wa Mwalimu ambao pia una mazoezi na maelekezo tosha ambayo mwalimu atahitaji ili kumwongoza mwanafunzi aweze kufaulu katika mtalaa huu wa umilisi.ISBN: 9780195749052
-
Longhorn Mwanga wa Kiswahili Mwanafunzi Grade 5 (Approved) by K. Ngere, M. Kikwanuu, H. Kangai and Walla bin Walla
KSh677.00Original price was: KSh677.00.KSh610.00Current price is: KSh610.00.Add to cartLonghorn Mwanga wa Kiswahili Gredi ya 5 (Kitabu cha Mwanafunzi) ni kitabu kilichoandikwa kwa ustadi na umahiri mkubwa. Kimeandikwa kwa lugha nyepesi ya kiwango cha mwanafunzi wa gredi ya nne. Kitabu hiki kinatosheleza kikamilifu mahitaji ya mtaala mpya wa umilisi pamoja na malengo ya elimu ya taifa la Kenya. Kimeshughulikia wanafunzi wote wakiwemo walio na mahitaji maalum pamoja na wanaoishi kwenye mazingira mbalimbali. Kitabu hiki kitamwangazia na kumwezesha mwanafunzi:
• kuwa na uwezo wa kuwasiliana na wenzake,
• kujiamini na kujithamini,
• kuwaza kwa kina na kupata suluhu ya matatizo,
• kuwa raia mwadilifu na mzalendo,
• kutumia vifaa mbalimbali vya kidijitali.
Upekee wa kitabu hiki ni kuwashirikisha wanafunzi kwa kiwango kikubwa katika ujifunzaji. Mlezi pia ameshirikishwa hasa katika mazoezi ya ziada. Mwishoni mwa kila mada kuu kuna zoezi la kuzichangamsha akili za wanafunzi ili kukumbuka waliyosoma.
Kitabu hiki kina mwongozo wa mwalimu ambao utamwelekeza mwalimu katika kutekeleza wajibu wake. Bila shaka, mwanga wa kitabu hiki utaangaza na kukikuza Kiswahili angavu miongoni mwa wanafunzi. Waandishi wa kitabu hiki ni walimu na watahini wenye ujuzi wa kutosha katika ufundishaji wa Kiswahili kwa miaka mingi.ISBN: 9789966643155
-
Moran CBC Breakthrough Agriculture Workbook Grade 5 by Moran
KSh622.00Original price was: KSh622.00.KSh560.00Current price is: KSh560.00.Add to cartCBC Breakthrough Workbook Grade 5 Agriculture is a one-stop source of extended learning activities based on the Competency Based Curriculum. The workbook is a curriculum companion aimed at supporting the learner to develop skills and concepts in Agriculture. The specific learning outcomes integrate the required competencies, PCls and values in the learner’s activities. The workbook is packed with benefits to the learner, teacher and parent or guardian.
ISBN: 9789966633316








Reviews
There are no reviews yet.