Joy Kids Bible
KSh950.00 Original price was: KSh950.00.KSh890.00Current price is: KSh890.00.
Related products
-
Wendo tours Nairobi County by (Omwocha)
KSh322.00Original price was: KSh322.00.KSh290.00Current price is: KSh290.00.Add to cartWendo Wanani is a pupil at Kaptiket Primary school in Kericho County.
She has never been to Nairobi. She takes part in an essay writing competition titled ‘Kenya, my Beautiful Land,
and is invited to Nairobi for the finals.
Together with nine other pupils from different schools across the country,
Wendo’s reward is to tour the city under the sun – Nairobi. From parks to statues,
museums to roads she has never heard about, Wendo is on a discovery mission.ISBN: 9789966140104
-
Rangi za Ali by Nyambura Mpesha
KSh228.00Original price was: KSh228.00.KSh205.00Current price is: KSh205.00.Add to cartAli ni mwanafunzi wa Darasa la Kwanza. Mahali anakoishi kuna vitu vya aina nyingi. Vitu hivyo vina rangi mbalimbali. Ali anazipenda rangi hizo. Ungana na Ali katika kitabu hiki. Utajua vitu na rangi zake.
ISBN: 9789966342676
-
Mti wa Ajabu by Nyambura Mpesha
KSh228.00Original price was: KSh228.00.KSh205.00Current price is: KSh205.00.Add to cartKatika nchi ya Tofali, paliondokea mti ambao ulishangaza kila mtu. Alfajiri, majani ya mti huo yaligeuka rangi na kuwa ya buluu, mchana yakawa ya kijani, alasiri yakawa njano, jioni yakawa ya hudhurungi na meusi usiku. Jinsi mti huo ulivyokua kwa kimo, ndivyo ulivyopanuka. Mti huo ulitisha. Hakuna mtu aliyethubutu kuukaribia.Siku moja vijana wawili wakakamavu waliamua kuukaribia. Je, waliangamizwa na mti huo wa ajabu au walirudi kijijini wakiwa wazima?
ISBN: 9789966342508
-
Kito apepeta by Rebecca Nandwa
KSh211.00Original price was: KSh211.00.KSh190.00Current price is: KSh190.00.Add to cartKito, msichana mdogo wa shule ya msingi, ana kipawa cha kuimba. Kila apatapo nafasi anakuza kipawa hicho. Mwalimu anapomtafuta mwanafunzi ambaye atamtumbuiza mgeni mkuu, wanafunzi wanamchagua Kito.Je, ataweza jukumu hilo? Kito Apepeta kimeandikwa kwa ustadi mkubwa. Kitabu hiki kinawalenga watoto wanaoanza kukamaa kwa lugha no fasihi. Kinaburudisha na kuwahimiza watoto kukuza vipaji vyao.
ISBN: 9789966788174
-
Mchongoma 3b by Moran
KSh328.00Original price was: KSh328.00.KSh295.00Current price is: KSh295.00.Add to cartTuliondoka pale maziarani, mama akiwa mbele yetu kuongoza rubaa hadi kiamboni.Nilimtazama alivyotembea. Alikuwa mnyonge, gofu la mtu, kabaki mitulinga ,nyonga na fuvu la kichwa. Alikuwa mnyonge mfano wa sabatele changaraweni. Tulitembea guu bandika guu bandua. Kimya. Unywele ungalianguka, ungaliusika
Siku hii naikumbuka kama jina langu…..
ISBN : 9789966342355








Reviews
There are no reviews yet.